JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Matibabu ya moyo kuimarishwa

Na Mwandishi Maalumu – Dar es Salaam Wataalamu wa afya wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kushirikiana na wenzao kutoka Hospitali ya Jimbo la Shandong la nchini China kuimarisha huduma katika tiba ya upasuaji wa moyo upande wa kupandikiza…

Chalamila awataka wakazi Dar kusajili watoto

Na Mwandishi, Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw. Albert Chalamila, amewataka wakazi wa Jiji la Dar es Salaam na vitongoji vyake kujitokeza kwa wingi kusajili watoto walio chini ya miaka mitano mara zoezi…

Mwakabungu: Walimu 4,900 kunufaika na mafunzo ya utekelezaji wa mtaala mpya

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Pwani Walimu 4,900 wanatarajia kufikiwa na kunufaika na mafunzo ya utekelezaji wa mtaala mpya wa elimu ya awali na msingi unaotarajia kuanza rasmi Januari 2024. Zoezi hilo linaendelea kwenye baadhi ya mikoa nchini kwa lengo la walimu…

Polisi Arusha waja na mbinu mpya kukabiliana na uhalifu

Na Mwandishi Wetu -Jeshi la Polisi- Arusha Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limekuja na mbinu mpya ya kukabiliana na matukio ya uhalifu katika mkoa huo ambapo wamewapanga askari katika mitaa yote ambayo watashirikiana na Wananchi wa mitaa husika ili…

Ndalichako aridhishwa na kasi ya ujenzi wa chuo cha walemavu Songea

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Prof. Joyce Ndalichako ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa Chuo cha Wenye Ulemavu Songea na amepongeza uongozi wa Mkoa wa Ruvuma kwa…