JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Laki tano wapima VVU kupitia mradi wa CDC/ PEPFA

………………………………………………. Zaidi ya watu laki tano wamepata huduma ya ushauri nasaha na kupima maambukizi ya Virusi vya UKIMWI kupitia mradi wa CDC/ PEPFA afya hatua katika kipindi cha kuanzia Oktoba 2022 hadi Disemba 2023.Akizungumza wakati ya Kilele cha wiki ya…

Ofisi ya Rais- Utumishi yatembelewa na viongozi wa Serikali katika maadhimisho ya Siku ya UKIMWI

Mkurugenzi Msaidizi Anuai za Jamii na Mratibu wa VVU, UKIMWI na Magonjwa Yasiyoambukiza, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi. Mwanaamani Mtoo (Katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa ofisi hiyo…

Kamanda Mack awataka waandishi wa habari wasiwe wanyonge

Na Helena Magabe, JamhuriMedia, Tarime Kamanda wa Jeshi la Polisi Tarime/Rorya ACP Mack Njera amewata waamdishi wa habari wasiwe wanyonge katika kutekeleza majukumu yao Amesema hayo kwenye mdahalo baina ya waandishi wa habari na Jeshi la Polisi juu ya ulinzi…

NBAA yakabidhi msaada wa hundi mil.15/- kusaidia wagonjwa wa saratani Muhimbili

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Hospitali ya Taifa Muhimbili imepokea msaada wa hundi yenye thamani TZS. Mil 15 kutoka Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) kwa lengo la kuwasaidia watoto wanaogua Saratani wanaopatiwa…

Mwanafunzi HKMU apata udaktari na miaka 21

· Ni Ahlam Azam Mohamed avunja rekodi kuwa daktari mdogo zaidi · Madaktari 138 kutunukiwa Shahada Jumamosi Na Mwandishi Wetu, Jamhurimedia MWANAFUNZI wa udaktari, Ahlam Azam Mohamed, ameweka rekodi ya kuwa mwanafunzi mdogo kuliko wote kuwahi kutokea nchini kuhitimu Shahada…

Fedha za ndani ziwe tegemeo katika mapambano dhidi ya UKIMWI – Dkt. Biteko

📌Asema Serikali inaendelea na juhudi za kutokomeza UKIMWI Nchini Na Mwandishi Wetu, JamburiMedia, Morogoro Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka wadau mbalimbali wanaohusika na mapambano dhidi ya UKIMWI nchini kwa kushirikiana na Tume ya…