JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Mafuriko Manyara, vifo vyafikia 47 watu 85 waokolewa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Manyara Juhudi za kuwaokoa watu waliokwama kwenye matope zimeendelea vijiji vya Katesh na Gendabi wilayani Hanang mkoani Manyara  baada ya mafuriko kuyakumba maeneo hayo na kusababisha vifo vya watu 47 na wengine 85 kujeruhiwa. Kwa mujibu…

Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba wabaini kiwanda bubu Arusha

Na Abel Paul,Jeshi la Polisi- Arusha Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba kanda ya kaskazini (TMDA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha iliendesha operesheni maalum ya kuwasaka watu wanaojihusisha na uzalishaji wa dawa bandia ambapo mamlaka hiyo…

Aliyehitimu udaktari HKMU na miaka 21 atoa siri

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MHITIMU wa fani ya udaktari ambaye ni mdogo kuwahi kutokea tangu kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert kairuki (HKMU), Ahlam Azam Mohamed, ametoa siri ya namna alivyofanikiwa kuhitimu akiwa na miaka…

Kamati ya siasa ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam yakagua miradi ya TANROAD

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kamati ya siasa ya Mkoa wa Dar es Salaam leo Novemba 30, 2023 imefanya ziara ya kukagua barabara zinazojengwa na kusimamiwa na TANROADS ikiwemo hiyo inayotoka Kibamba shule kuelekea Mpiji Magohe yenye urefu…

Laki tano wapima VVU kupitia mradi wa CDC/ PEPFA

………………………………………………. Zaidi ya watu laki tano wamepata huduma ya ushauri nasaha na kupima maambukizi ya Virusi vya UKIMWI kupitia mradi wa CDC/ PEPFA afya hatua katika kipindi cha kuanzia Oktoba 2022 hadi Disemba 2023.Akizungumza wakati ya Kilele cha wiki ya…