Category: Habari Mpya
Serikali yatia vifaa vya kuwasaidia waathirika wa mafuriko Hanang’
Awamu ya ya kwanza vya vifaa tiba na dawa vilovyotolewa na serikali kupitia Bohari ya Dawa (MSD) kwa ajili ya kuwasaidia waathirika wa mafuriko Hanang imewasili katika Hospitali ya Wilaya ya Hanang (Tumaini). Meneja wa Kanda ya MSD Kilimanjaro Rehema…
Tunafuatilia uadilifu katika utoaji huduma za Ardhi – Pinda
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Serikali inaendelea kusimamia ufuatiliaji wa tathmini katika utekelezaji wa majukumu ya Sekta ya Ardhi na uadilifu katika utoaji wa huduma za ardhi nchini. Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi…
Wafariki ikwa mafuriko mkoani Manyara wafikia 49, Naibu Waziri wa Afya atoa pole kwa majeruhi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Manyara NAIBUĀ Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel akiwa ameongozana na Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. John Jingu, Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu pamoja na wataalam kutoka Wizara ya Afya mapema leo Desemba…
Waziri Mhagama, Bashungwa wafikia kijijini Gendabi- Hanang kwenye maafa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista J. Mhagama, Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa, pamoja na Wakuu wa Vyombo vya ulinzi na Usalama wamefika katika kijiji cha Gendabi kata ya…