Category: Habari Mpya
Kipindupindu chauwa wanne Buchurago Kagera
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Watu wanne wamefariki kutokana na ugonjwa wa kipindupindu katika kijiji cha Buchurago kata ya Bugorora wilayani Missenyi mkoani Kagera huku wengine wanne wakilazwa katika Hosptali ya St.Tereza. Mkuu wa Mkoa Kagera, Fatma Mwassa amesema serikali inaendelea na…
CCM ‘yawashika mkono’ waathirika mafuriko Hanang
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Manyara Chama Cha Mapinduzi (CCM), kupitia kwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Bara, Anamringi Macha, kimekabidhi msaada wa vitu vyenye thamani ya Tsh. 10 milioni, ‘kuwashika mkono’ waathirika wa maafa yaliyosababishwa na mafuriko ya maji na…
Tume ya TEHAMA yapeleka wabunifu saba kongamano la Afrika
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Katika kuhakikisha inakuza ubunifu kwa kampuni changa za Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) nchini, Tume ya Tehama (ICTC) imefanikisha safari ya wabunifu saba kwenda Algiers, Algeria kushiriki katika kongamano la kimataifa la…
Idadi ya vifo Hanang vyafikia 63, Majaliwa aongoza mazishi
Na Mary Margwe, JamhuriMedia,Hanang Idadi ya vifo vya waliopoteza maisha katika maafa ya maporomoko ya udongo huko Wilayani Hanang mkoani Manyara vimefikia 63, ambapo Waziri Mkuu Kasim Majaliwa ameongeza kuaga miili wilayani Hanang mkoani Manyara. Waziri Majaliwa amesema jumla ya…