Category: Habari Mpya
Mafuriko Kilosa yasababisha mtu moja kufariki, kaya zaidi ya 150 zakosa makazi
Mtu mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 60 Idd Abdalah amefarikia dunia kwa kuburuzwa na maji huku Kaya zaidi ya 150 katika Kata ya Mvumi na Ludewa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro zikikosa makazi baada ya nyumba zao kujaa…
Waziri Majaliwa : Serikali inatoa huduma bure waathirika wa maporomoko Hanang
Na Paschal Dotto, JamhuriMedia, MAELEZO- Hanang Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaendelea kutoa huduma muhimu katika maeneo yote yaliyoathiriwa na kuporomoka kwa udongo katika eneo la Katesh Wilayani Hanang mkoani Manyara. Akizungumza katika mkutano wa Wananchi, Waziri Mkuu,…
Taswira mbalimbali za athari za mafuriko ya matope na mawe Katesh na Hanang
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel akiongozana na Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu, Mkurugenzi wa Huduma za Kinga Wizara ya Afya Dkt. Ntuli Kapologwe pamoja na Timu ya Wataalam wamefanya tathmini ya anga kuona athari ya mafuriko…
Wajumbe bodi ya JKCI wakutana jijini Dar
Katibu wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Dkt. Peter Kisenge akitoa taarifa ya utendaji wa kazi zilizofanywa na taasisi hiyo kwa kipindi cha miezi mitatu ya Julai…
Katibu Mkuu Uchukuzi aagiza TMA itangaze mafanikio kikanda
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi, Prof. Godius. W. Kahyarara ametembelea banda la maonesho la TMA katika Mkutano wa 16 wa Wadau wa Sekta ya Uchukuzi kuhusu Ufuatiliaji na Tathmini (16th JTSR) unaofanyika jijini Arusha, na kuagiza…
Waziri ashuhudia kazi ya kuzoa tope ikianza, atembelea majeruhi
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo (Jumanne, Desemba 5, 2023) ameshuhudia kazi ya kusomba matope kwenye mji mdogo wa Katesh, wilayani Hanang, mkoani Manyara, ikianza kwenye barabara kuu ya kutoka Babati hadi Singida. Akizungumza na mamia ya wakazi wa mji huo,…