JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Serikali yawataka watumishi kujiepusha makampuni ya kausha damu

Na Daniel Limbe, JamhuriMedia, Chato SERIKALI mkoani Geita imewataka watumishi wa umma wajiepushe na mikopo ya kinyonyaji kutoka kwenye baadhi ya makampuni binafsi ya ukopeshaji fedha badala yake watumie vyama vyao vya kuweka na kukopa Saccos. Mrajis msaidizi wa Ushirika…

Rais Dk Samia kukabidhi dawa na vifaa tiba vya sh.bil. 1.7 Mvomero,

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mvomero Rais Dk.Samia Suluhu Hassan amefunga kazi Mvomero kwa Serikali kukabidhi dawa na vifaa tiba vya zaidi ya sh. bilioni 1.61. Hayo yamesemwa jana na Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Judithi Nguli wakati Bohari ya Dawa…

Tulia : Majeruhi wa mafuriko Hanang wote wametibiwa Manyara bila rufaa

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson ameipongeza Serikali kupitia Wizara ya Afya kwa uboreshaji wa huduma za afya nchini na kufanya majeruhi wote wa mafuriko ya Hanang kupata huduma Mkoani Manyara bila kupewa rufaa….

Mafuriko Kilosa yasababisha mtu moja kufariki, kaya zaidi ya 150 zakosa makazi

Mtu mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 60 Idd Abdalah amefarikia dunia kwa kuburuzwa na maji huku Kaya zaidi ya 150 katika Kata ya Mvumi na Ludewa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro zikikosa makazi baada ya nyumba zao kujaa…