JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Watuhumiwa 16 mbaroni kuhusika na vitendo vya kihalifu

Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia, Dar es Salaam JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 16 kuhusika na vitendo vya kihalifu ikiwemo kupanga njama za kuiba, kuvunja nyumba huku wengine wakiuuza na kusafirisha dawa za kulevya. Akizungumza…

TCCS yaunga mkono jitihada za Rais Samia uboreshaji sekta ya mifugo

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHAMA cha Wafanyabiashra wa Ng’ombe Tanzania (TCCS), kimesema kinaendelea kuunga mkono jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan za kuhakikisha sekta ufugaji nchini inazidi kuboreshwa na kufanya kuwa ufugaji wa kisasa. Hayo yamebainishwa jijini…

Serikali, JET kutatua migongano ya binadamu na wanyamapori

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia,Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara l ya Maliasili na Utalii kwa kushirikiana na chama cha waandishi wa Habari za Mazingira (JET) wamewataka wanahabari kuendelea kutoa elimu juu ya utatuzi wa migogoro ya binadamu na wanyamapoli kwa…

Tanzania yapiga hatua katika mapambano dhidi ya VVU

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma IDADI ya maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi nchini imeendelea kupungua kutoka watu 72,000 mwaka 2016/2017 hadi kufikia watu 60,000 kwa mwaka 2022/2023 idadi ambayo sawa na punguzo la asilimia 16. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Tume…

NEMC kufanya ukaguzi athari za mazingira kwenye miradi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limejipanga kufanya mapitio ya miradi yote ili kuangalia kama imefanyiwa tathmini ya athari za mazingira katika kukabiliana na hatari za kimazingira zinazotokana na shughuli za…