JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Rais Samia anogesha Prof Jay Foundation kwa Sh Mil 50

Rais Samia Suluhu Hassan amechangia kiasi cha Sh milioni 50 kwa Taasisi ya Profesa Jay Foundation iliyochini ya msanii, Joseph Haule maarufu Prof Jay inayosaidia wagonjwa wa figo. Pia amesema kuwa endapo itafikia hatua ya kutaka kumpandikiza Profesa Jay figo…

Serikali yapiga jeki utendaji Newala

Serikali imekabidhi vitendea kazi mbalimbali katika Halmashauri ya Wilaya ya Newala mkoani Mtwara ili kurahisisha utendaji kazi kwa watumishi wa halmashauri hiyo. Akikabidhi vitendea kazi hivyo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mkuu wa Wilaya ya Newala, Rajabu…

Waziri Mkuu azindua Awamu ya Nne ya Mkakati wa Taifa Dhidi ya Rushwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Watanzania wasikubali kutoa rushwa mahali popote huku akisisitiza kuwa wananchi ni wadau muhimu sana katika mapambano dhidi ya vita hiyo. “Ninyi ni wadau wakubwa wa kukomesha rushwa. Nyie ni wadau wakubwa wa kukomesha vitendo vya…

Dk Mpango aibukia kanisani , awashukuru Watanzania kwa kumwombea

MAKAMU wa Rais Dkt. Philip leo Desemba 10,2023 akiwa katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska Kiwanja cha Ndege Jijini Dodoma ambako ameshiriki Ibada ya jumapili ameitaka Mitandao ya kijamii nchini itumike vizuri pasipo kupotosha umma. Dkt. Mpango…

Shoroba 41 hatarini kufungwa, DC Babati aonya wanaochochea migogoro maeneo ya hifadhi

Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha. Wakati Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori nchini (TAWIRI) ikieleza mapito ya wanyama(shoroba) 41 yapo hatarini kufungwa kutokana na ongezeko la shughuli za kibinaadamu ,Mkuu wa Wilaya ya Babati, Lazaro Twange ameonya viongozi wa vijiji wanaohamasisha uvamizi…

Chalamila apokea taarifa ya tathmini ya maafa Dar

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Desemba 07,2023 amepokea taarifa ya tathimini ya maafa katika Mkoa huo ambayo inatokana na athari za mvua zinazoendelea kunyesha iliyowasilishwa na Wataalam kutoka Ofisi…