JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Maneno ya Naibu Waziri Pinda yataka kumliza diwani wa Kisaki Singida

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Singida Maneno ya Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi l Geophrey Pinda wakati wa kutafuta suluhu ya mgogoro wa ardhi kati ya wananchi wa Kisaki na Mwekezaji wa Sekta ya Nyuki katika eneo…

Wizara ya Afya yaikumbusha MSD kuzingatia upatikanaji wa bidhaa za afya na zenye ubora

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Wizara ya Afya imeitaka Bohari ya Dawa (MSD) kutambua nafasi yake katika matumizi ya bima ya afya kwa wote na kuzingatia upatikanaji wa bidhaa za afya, ubora na bei zilizo katika muongozo wa matibabu wa…

Serikali kuchukua hatua kwa waliomzushia kifo Makamu wa Rais Dk Mpango

Na Mwandishi wetu, JamhuriMedia Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, ametangaza nia ya serikali kuchukua hatua za waliomzushia kifo Makamu wa Rais Dkt. Phillip Mpango, ili kudhibiti matumizi mabaya ya mtandao na kuwalinda wananchi dhidi ya…

MSD yakabidhi vifaa vya sh.mil. 114 kwa kituo cha afya Mtae zilizotolewa na Serikali

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga Serikali imetoa Sh.Milioni 114 kwa Kituo cha Afya  Mtae kilichopo Wilaya ya Lushoto mkoani Tanga ambazo zimetumika kununulia vifaa tiba kupitia Bohari ya Dawa (MSD) na hivyo kinatarajia kuanza kutoa huduma ya upasuaji mwishoni mwa…

Tanzania yapiga hatua utekelezaji wa ajenda ya Afrika 2063 – Dk Biteko

Gaborone – Botswana Imeelezwa kuwa, Tanzania imepiga hatua kubwa kwenye utekelezaji wa makubaliano ya Ajenda 2063, ya kuifanya Afrika kuwa mahali pa ndoto yetu kuelekea Afrika tuitakayo. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt.Doto Biteko…

Wizara 13 zawafariji waathirika wa mafuriko Hanang

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali,Mobari Matinyi amesema wizara 13 za Serikali zimeshiriki katika kufanikisha kazi ya kurudisha hali ya waathirika kutoka Hanang mkoani Manyara. Ambapo amesema moja ya wizara iliyotumika…