Category: Habari Mpya
Endelezeni mila zinazotuunganisha kusaidia kusukuma maendeleo- Sendeka
Na Mary Margwe, JamhuriMedia,Simanjiro Wananchi wa jamii ya Kimasai wametakiwa kuendeleza mila zinazowaunganisha kuwa wamoja na zile ambazo zinasaidia kusukuma Maendeleo chanya na kuwaletea Uchumi imara kwa Taifa. Hayo yamebainishwa Jana na Mbunge wa Jimbo la Simanjiro Christopher Ole Sendeka…
Urejeshaji hali Hanang waendelea
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Jenista Mhagama akiongoza zoezi ufunguaji wa barabara na uondoaji wa tope katika Mji wa katesh Halmashauri ya Hanang’ Wananchi wamepokea kwa muitikio chanya zoezi la kuhifadhi waathirika wa maporomoko…
Waziri Mbarawa aridhishwa na majaribio ya kichwa cha treni ya umeme
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Waziri wa Uchukuzi Professor Makame Mbarawa afanya ziara fupi ya kuona majaribio ya kichwa cha treni ya umeme cha reli ya kiwango cha kimataifa – SGR kilichopo kwenye stesheni ya Pugu jijini Dar es Salaam…
Bashe :Maafisa ugani wapatikane kwenye vituo
Waziri wa Kilimo Mheshimiwa Hussein Bashe (Mb) amewataka wakurugenzi wa Halmashauri zote nchi kuhakikisha maafisa Ugani wanapatikana katika vituo vyao vya Kazi kama ilivyo kwa walimu. Bashe ameyasema hayo leo hii akiwa mkoani Tanga ambapo ameanza ziara yake ya kikazi…
Kinana azuru kaburi la Hayati Rais Magufuli
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Komredi Abdulrahman Kinana, akiwa ameambatana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko wamezuru na kufanya sala katika kaburi la Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John…
Mabula amshukuru Rais Samia kwa kutoa fedha za miradi ya maendeleo Ilemela
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ilemela Wenyeviti wa Serikali za Mitaa wametakiwa kutekeleza wajibu wao kwa kufanya mikutano ya hadhara, kusoma mapato na matumizi pamoja na kutatua kero za wananchi. Rai hiyo imetolewa na mbunge wa Jimbo la Ilemela Dkt Angeline…