JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Wizara ya Afya yaielekeza MSD kujiendesha kibiashara na kuwa wabunifu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMwdia, Morogoro Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu ameilekeza Bohari ya Dawa (MSD) kuwajali wateja na kuwashirikisha katika suala zima la kuwapa huduma za mnyororo wa ugavi wa bidhaa za afya nchini. Dkt. Jingu…

TMDA yawataka wakaguzi wa viwanda vya kutengeneza dawa kufuata maadili

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Mamlaka ya Dawa  na Vifaa Tiba (TMDA) imewataka wakaguzi wa viwanda vya kutengeneza dawa  kufuata maadili kwani wao ndio nguzo kubwa katika kuhakikisha dawa zinazozalishwa zinakidhi vigezo vya kitiba na kiuchunguzi. Wito huo umetolewa leo…

Aweso ashuhudia utiaji saini miradi mitatu ya maji Pwani itakayogharimu 48/-

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia, Kibaha WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso ameshuhudia tukio la kihistoria katika utiaji saini wa kuanza, utekelezaji wa miradi mitatu ya maji yenye thamani ya zaidi ya sh.Bilioni 48 kati ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira…

ICTC, taasisi ya Ruge Mutahaba zakubaliana kuwezesha wanawake, vijana

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar TUME ya Tehama (ICTC) imesaini hati ya makubaliano na ushirikiano na Taasisi ya Ruge Mutahaba ya kuinua vijana na wanawake waweze kushiriki na kunufaika kiuchumi kupitia matumizi ya teknolojia za kidigitali.Makubaliano hayo yamelenga kushughulikia maeneo…

Upasuaji wa kwanza bila kufungua kifua wafanyika JKCI

na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Taasisi ya Moyo ya Jakaya kikwete(JKCI) kwa kushirikiana na madaktari kutoka India wamefanikiwa kubadilisha valvu ya moyo bila kufanya upasuaji wa kufungua kifua kwa mara ya kwanza nchini . Upasuaji huo ujulikanao kuwa wa tundu…