JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Nchi tatu zaanza kupata umeme kutoka Rusumo , Machi 2024 kuzinduliwa

Tanzania, Rwanda na Burundi zaanza kupata umeme kutoka Rusumo Mradi kuzinduliwa mwezi Machi 2024, Dkt. Biteko ataka ukamilike mapema Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, mradi wa maporomoko ya umeme wa Rusumo wa megawati…

Maandalizi ya utunzaji historia ya Muhimbili tangu ikiwa Sewahaji yaanza

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Maandalizi ya utunzaji wa historia ya Hospitali ya Taifa Muhimbili tangu enzi za Sewahaji hadi sasa yameanza ambapo leo Uongozi wa Makumbusho ya Taifa umekutana na Uongozi wa hospitali kujadili namna nzuri ya kushirikiana kutekeleza…

Watuhumiwa 3520 wakamatwa na mifugo 8970 nchini

Na Abel Paul,Jeshi la Polisi- Arusha Jeshi la Polisi kupitia kikosi cha kupambana na kuzuia wizi wa mifugo nchini limesema kwa kipindi cha mwezi januari mpaka novemba mwaka huu limefanikiwa kukamata mifugo 8970 iliyokuwa imeibiwa maeneo mbalimbali hapa nchini kati…

‘Chukueni tahadhari magonjwa ya upumuaji’

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imeutaka umma kuchukua tahadhari juu ya maambukizi ya magonjwa ya mfumo wa upumuaji. Waziri wa Afya wa Zanzibar, Nassor Ahmed Mazrui amesema wananchi wanapaswa kuzingatia hatua zote za kiafya ili kuepukana na maambuzi kwa kuwa ripoti…

Rais Samia awahakikishia umeme wa uhakika wenye viwanda

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar RAIS Samia Suluhu Hassan amesema mitambo miwili ya kuzalisha umeme kwenye bwawa la Mwalimu Julius Nyerere (JNHPP), Rufiji mkoani Pwani itawashwa mapema mwakani na kusaidia kuongeza kiwango cha umeme nchini. Aliyasema hayo jana usiku kwenye…

Hospitali Tunduru yaanza uchunguzi wa kifua kikuu kwa watoto kupitia haja kubwa

Na Muhidin Amri, JamhuriMedia, Ruvuma Wizara ya Afya kwa kushirikiana na Hospitali ya Wilaya Tunduru mkoani Ruvuma,imeanza kampeni ya kuwapima maambukizi ya ugonjwa wa kifua kikuu watoto wadogo kupitia haja kubwa kutokana na watoto hao kutokuwa na uwezo wa kutoa…