JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Malalamiko ya wananchi kuonea na askari yafika makao makuu

Na Mwandishi Wetu- Jeshi la Polisi, Dar es Salaam Jeshi la Polisi nchini limesema limeona taarifa katika baadhi ya mitaandao ya kijamii ya kijamii zikionyesha taarifa za Wananchi ambao wanalalamika kufanyiwa vitendo ambavyo ni kinyume cha sheria na haki za…

MSD yang’ara Temeke

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Bohari Kuu ya Dawa nchini (MSD) imetambuliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania kama Mlipa Kodi Bora Mkoa wa Kikodi Temeke. Akizungumza na JAMHURI ofisini kwake hivi karibuni, Kaimu Mkurugenzi wa Fedha wa MSD,…

Mgao wa umeme kumalizika ifikapo Januari 2024

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mpwapwa  Katibu Mkuu Wizara ya Nishati Mha.Felchesmi Mramba amesema kuwa tatizo la mgao wa umeme litakwisha ifikapo Januari mwaka 2024 baada ya mtambo mmoja wa kuzalisha umeme kutoka bwawa la Mwalimu Julius Nyerere (JNHPP) kuanza majaribio…

JK ashiriki misheni ya SADC Uchaguzi Mkuu DRC

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Kufuatia maelekezo ya Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama (Organ of Troika) ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwa Jopo la Wazee wa SADC( SADC Panel of Elders-POE), Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,…

Naibu Waziri Pinda atembelea maeneo ya waathirika wa mafuriko Hanang

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geophrey Mizengo Pinda ametembelea maeneo yaliyoathirika Mafuriko yaliyotokana na maporomoko ya mawe na tope kutoka mlima Hanang. Pinda ametembelea maeneo Desemba 20, 2023 kabla ya kuhudhuria kikao…

Oparesheni maalumu yakamata vifaa tiba vya Serikali ya mil.11.2/- kwenye maduka binafsi nchini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Vifaa tiba vya Serikali vinavyokadiriwa kuwa na thamani ya shilingi 11,297,500 vimekamatwa katika vituo na maduka binafsi. Mbali na vifaa hivyo pia dawa mbalimbali za zikiwemo mseto za kutibu Malaria, videngo aina ya ALU, dawa…