Category: Habari Mpya
Makonda : Tatizo la kukatika kwa umeme TANESCO ijitathmini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Chama cha Mapinduzi (CCM), Taifa kimesema kuwa tatizo la kukatika kwa umeme limekuwa ni changamoto kubwa kwa wananchi na hivyo kimewataka watendaji wa Shirika la umeme nchini TANESCO kujitathimini. Kimesema kuwa hakuna haja ya kutafuna…
Waziri Jafo azitaka halmashauri nchini kutenga bajeti ya kuzalisha miche
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dkt. Selemani Jafo amezielekeza halmashauri zote nchini kutenga bajeti kwa ajili ya kuzalisha miche ili kuongeza nguvu katika zoezi la upandaji. Amesema hayo wakati…
Puuzeni upotoshaji unaofanyika mitandaoni kuhusu misaada Hanang – Matinyi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Njombe Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Mobhare Matinyi, amewataka wananchi kupuuza upotoshaji wa taarifa unaofanywa kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya watu na vyombo vya habari visivyofuata maadili ya kazi kuhusu misaada inayotolewa kwa waathirika…
Tume ya Tehama wapikwa mifumo mipya ya upimaji utendaji kazi
Na Mwandishi Wetu, JamburiMedia, Dar es Salaam WATUMISHI wa Tume ya Tehama nchini, wamepatiwa mafunzo juu ya mifumo mipya ya kielektroniki ya Upimaji Utendaji Kazi kwa Taasisi za Umma (PIPMIS) na Mfumo wa Upimaji Utendaji Kazi kwa Watumishi wa Umma…
Jeshi la Polisi kuchunguza tuhuma unyanyasaji raia
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma JESHI la Polisi Mkoa wa Dodoma limesema linachunguza tuhuma zinazoelekezwa dhidi ya vijana wake kudaiwa kukiuka taratibu za kukamata watuhumiwa wa makosa mbalimbali ikiwemo kuwapa vipigo na unyanyasaji wa kijinsia. Hatua hiyo imekuja kufuatia kuwepo kwa malalamiko…
Waziri Mazrui azungumzia hali ya malaria Zanzibar
Na Imani Mtuma, Maelezo, JamhuriMedia, Zanzibar Waziri wa Afya Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui amewataka wananchi kuimarisha usafi katika maeneo yao ili kuondoa mazalia ya mbu wanaosababisha ugonjwa wa malaria. Akizungumza na waandishi wa habari huko ofisini kwake Mnazimmoja Mjini Unguja…