Category: Habari Mpya
Balozi Polepole kushirikiana na JKCI kuboresha matibabu ya moyo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Balozi wa Tanzania nchini Cuba Mhe. Humphrey Polepole amesema kuwa atashirikiana na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kuhakikisha Watanzania wanaendelea kupata huduma bora za matibabu ya moyo. Mhe. Balozi Polepole ameyasema hayo leo jijini…
Polisi Arusha wajipanga ulinzi Sikukuu ya Krisimas na mwaka mpya
Na Abel Paul, Jeshi la Polisi- Arusha Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kuwa kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama linaendelea kuimarisha ulinzi ambapo limebainisha kuelekea sikukuu za krismasi na mwaka mpya litahakikisha sikukuu hizo zinasherekewa…
Viongozi wa umma watakiwa kuwasilisha matamko ya rasilimali, madeni
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Zikiwa zimebaki siku 10 ifike terehe ya mwisho kwa viongozi wa umma kuwasilisha tamko la rasilimali na madeni kwa Kamishna wa Maadili, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma imewataka viongozi wote wa umma kuzingatia matakwa ya…
Lengo la Serikali ni kusogeza huduma za lishe kwa jamii – Prof. Mkumbo
Na Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema kuwa uamuzi wa Serikali wa kufuta Taasisi ya Chakula na Lishe unalenga kuongeza wigo wa kusogeza karibu zaidi huduma za…
Serikali yataka ushirikiano utekelezwaji mradi wa Magadi Soda mkoani Arusha
Katibu Mkuu Madini asema utaokoa matumizi makubwa ya Fedha za Kigeni Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Serikali imewataka vongozi wa taasisi zinazohusika na Mradi wa Kimkakati wa Magadi Soda ulioko Engaruka Wilayani Monduli Mkoa wa Arusha kushirikiana kwa karibu katika…
Mollel: Wananchi wengi zaidi kufikiwa na huduma za kibingwa za matibabu ya moyo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Siha Serikali imetenga kiasi cha shilingi trilioni 6.7 kwaajili ya kuboresha huduma za afya hii ikiwa ni pamoja na kusomesha wataalamu ndani na nje ya nchi ili wananchi wengi waweze kupata matibabu ya kibingwa ya magonjwa…