Category: Habari Mpya
Jiji la Dodoma kuendelea kusafisha makorongo kuzuia mafuriko
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Halmashauri ya Jiji la Dodoma itaendelea kuyafanyia usafi kwa kuondoa taka ngumu makorongo yote ili yaweze kupitisha maji vizuri na kuondoa kero ya mafuriko wakati mvua zinaponyesha. Kauli hiyo ilitolewa na Mkuu wa Kitengo cha…
Dk Mpango awaasa Watanzania kupinga ukatili kwa wanawake na watoto
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma MAKAMU wa Rais Dkt. Philip Mpango na Mkewe mama Mbonimpaye Mpango wameungana na waumini wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska Kiwanja cha Ndege mkoani Dodoma katika Ibada ya Sikukuu ya Krismasi na…
Neema ya misaada yazidi kuwafikia waathirika wa maafa Hanang
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Hanang Waathirka wa maafa yaliyotokea wilayani Hanang Mkoa wa Manyara, Desemba 3, mwaka huu, wameendelea kunuifaika na misaada mbalimbali ya kibinadamu iliyotolewa na wadau pamoja na serikali, baada ya serikali kuongeza kiwango cha ugawaji wa misaada…
Halmashauri ya Kibaha, Taasisi ya Anjita wazindua programu ya malezi, makuzi
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha kwa Kushirikiana na Taasisi ya Anjita Child Development Foundation imefanya uzinduzi wa program Jumuishi ya Taifa ya Malezi ,Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto (MMMAM). Uzinduzi huo umefanyika kwa…
Chalamila TASAF mwarobaini wa umaskini katika jamii
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amesema TASAF imekua mkombozi mkubwa wa kuondoa umasikini katika Jamii watu wengi wamebadili maisha yao, pia ni ukweli usiopingika kati ya programu nyingi zilizoanzishwa kwa lengo…