Category: Habari Mpya
Dkt. Mollel: Wataalamu wa afya tengeni muda wa kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo nchini
na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Siha Wataalamu wa afya nchini wametakiwa kipindi wanachokuwa likizo kutenga muda wa kufanya utalii wa ndani ili kujionea vivutio mbambalimbali vilivyopo kwa kufanya hivyo kutasaidia kupumzisha akili zao. Rai hiyo imetolewa hivi karibuni na Naibu Waziri…
Wakunga, Wauguzi waliotahiniwa watakiwa kuripoti kwenye vituo vya mitihani
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma BARAZA la Uuguzi na Ukunga Tanzania limewataka watahiniwa wa mtihani wa usajili na leseni kwa wakunga na wauguzi waliosajiliwa kuhakikisha wanafika kwenye vituo walivyoomba kufanyia mtihani kesho Desemba 28 mwaka huu kuanzia saa mbili asuhuhi bila kukosa…
Watu 241 wauawa Gaza ndani ya saa 24
Takribani watu 241 wameuawa ndani ya saa 24 zilizopita na wengine 382 kujeruhiwa wakati oparesheni ya kijeshi ya Israel ikiendelea dhidi ya kundi la Hamas huko Gaza, Wizara ya Afya ya Gaza ilifafanua katika taarifa yake. Kwa mujibu wa taarifa…
DCEA yakamata mtandao wa uuzaji dawa za kulevya unaofuatiliwa duniani
Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya ya Tanzania (DCEA) imekatama kilogramu 3,182 za dawa za kulevya aina ya heroin na methamphetamine ambazo zilikuwa zimefungashwa kwenye vifungashio vya bidhaa zenye chapa za…
Krisimasi chungu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Ugumu wa maisha, kuporomoka kwa bei ya tanzanite, kupanda bei kwa bidhaa na huduma mbalimbali, simanzi wilayani Hanang na matukio ya kupotea kwa watu mkoani Geita ni baadhi ya mambo yaliyoigubika Sikukuu ya Krismasi mwaka 2023….
Naibu Waziri Pinda awaasa wananchi kuhusu matumizi bora ya ardhi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mlele Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geophrey Pinda amewaasa Watanzania kuhakikisha wanakuwa na mipango bora ya matumizi ya ardhi kwa manufaa ya sasa na vizazi vijavyo kwa kuwa ardhi iliyopo haiongezeki na…