Category: Habari Mpya
DKT. Biteko ammwagia sifa Rais Dk Samia kwa kasi ya utekekezaji wa miradi Bukombe
📌 Shule mpya 30 za msingi zajengwa 📌 Kila Kata wilayani Bukombe sasa ina Shule ya Sekondari 📌 Barabara mpya zajengwa, mtandao wafikia kilometa 1400 📌 Bukombe sasa ina hospitali mbili, vituo vya afya sita, zahanati 18 📌 Apokea wanachama…
DKT. Biteko azindua zahanati ya Bungoni -Ilala
📌Awataka wanachi kutumia fursa za uwepo wa Zahanati hiyo kupata huduma 📌Akemea viongozi wanaojificha Kwenye kivuli cha taratibu kuchelewesha maendeleo 📌Ujenzi wagharimu Shilingi Milioni 351 📌Kuhudumia Wananchi wa Kata nne, wapatao Elfu 12 Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dar es Salaam. Naibu…
RC Kunenge : Walimu wakuu, bodi za shule wasiwe kikwazo kwa wanafunzi
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani, alhaj Abubakari Kunenge, ametoa agizo kwa wakuu wa shule na bodi za shule wasiwe kikwazo , kuwazuia wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2024 wasipokelewe shule ,kwa sababu…
Chalamila akiri Dar kuwa lango la kuingiza dawa za kulevya, apongeza ukamataji Kg 3,182
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ameipongeza Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Nchini (DCEA), ambapo imefanikiwa kukamata kg 3,182 za dawa za kulevya aina ya Heroin na Methamphetamine katika…
Waziri Gwajima afanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji Benki ya TCB
Na WMJJWM- Dar es Salaam Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya TCB, Adam Mihayo kwa lengo la kujadili fursa za maendeleo ya wananchi hasa…
Tamasha la Kilimanjaro Cultural Festival kukuza utalii Kilimanjaro
Na Happiness Shayo, JamhuriMedia, Kilimanjaro Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki (Mb) amesema Tamasha la Kilimanjaro Cultural Festival linalohusisha utamaduni wa vyakula ,ngoma na lugha za asili za jamii ya Wachaga, Wapare na Wamaasai litasaidia kukuza utalii wa Mkoani…