JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Waziri Kairuki akagua ujenzi wa mradi wa nyumba Msomera

• Asisitiza Serikali ya Rais Dkt. Samia inalenga kuboresha maisha ya wananchi Na Happiness Shayo, JamhuriMedia, Handeni Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki (Mb) amekagua mradi wa ujenzi wa nyumba katika kijiji cha Msomera Wilayani Handeni kwa ajili ya…

Polisi wapiga marufuku upigaji fataki Arusha, wanaotaka wakachukue vibali

Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema Kama ilivyo desturi tunapoelekea kufunga mwaka, kunakuwa na shamrashamra za wananchi kufurahia kumaliza mwaka wakiwa salama na kuingia mwaka mpya, Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linao wajibu kuhakikisha wananchi wanasherehekea kwa amani…

Wito kutambua miili ya marehemu waliofariki kwa ajali Zambia

Mamlaka za Jamhuri ya Zambia zilitoa taarifa kuhusu ajali ya barabarani iliyohusisha basi la abiria aina ya Volvo la Kampuni ya Mukombe Luxury lenye namba za usajili DK72 HH GP linalofanya safari kati ya Afrika Kusini na Tanzania lililogongana uso…

Wazazi tuwajibike kwenye malezi ya watoto wetu – Dk Biteko

📌Ashiriki misa Takatifu Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima- Ushirombo 📌Awataka waumini kuweka alama wawapo duniani 📌Atoa wito kumuombea Rais na Serikali kuleta Maendeleo 📌Atoa salamu za mwaka mpya, na kuwataka Watanzania kudumisha Amani na Upendo Na Mwandishi Wetu,…

RC Mara awataka waandishi kuondoa hofu ya usalama wao

Na Helena Magabe, JamhuriMedia, Tarime Mkuu wa Mkoa wa Mara Said Mtanda amewataka Waandishi wa Habari kufanya kazi bila wasiwasi wakihofia Usalama wao katika utekelezaji wa majukumu yao. Katika kikao na waandishi wa habari na maafisa habari kilichofanyika mkoani Mara…