JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Watanzania jitokezeni kutoa maoni miswada ya sheria ya uchaguzi na vyama vya siasa – Dk Biteko

📌 Asema Rais, Dkt. Samia anafanya kazi kubwa ya kuwaunganisha Watanzaia 📌 Ataka Wananchi kuchagua viongozi bora katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbogwe, Geita Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ametoa…

‘Singida kugeuzwa ya kijani’

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Singida Shirika lisilo la kiserikali la HELVETAS – Tanzania limegawa bure miche 1,700 ya miti ya matunda kwa wakulima wa wilaya tatu za Mkoa wa Singida kama utekelezaji wa mradi wa mazingira wa UKIJANI unaolenga kuwawezesha…

TAWA: Aliyeuwa mamba alifuata sheria

MTANDAO: UCHUNGUZI unaonesha mwindaji raia wa Marekani, Josh Bowmer katika tukio la kuuwa mamba eneo la kitalu cha Lake Rukwa GR alifuata sheria kwa kuwa na kibali halali, ada na tozo zote za uwindaji alilipa na hakuna utaratibu uliokiukwa. Mamlaka…

Mwakinyo, Mzimbabwe kupasuana Zanzibar

Na Mwandishi Wetu Bondia, Hassan Mwakinyo ‘Champez’ anatarajiwa kupigana na bondia kutoka Zimbabwe, Enock Msambudzi Januari 27 mwaka huu visiwani Zanzibar. Pambano hilo la kwanza tangu kuachiwa huru na Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa nchini (TPBRC) baada ya kuwa kifungoni…

Serikali inathamini juhudi za kidini kupeleka huduma kwa wananchi – Dk Biteko

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, Serikali inathamini na kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Sekta za kidini katika kusogeza huduma mbalimbali kwa wananchi mjini na vijijini. Dkt. Biteko amesema hayo tarehe 2 Januari 2024…