Category: Habari Mpya
Israel yaimarisha ulinzi baada ya kuuwawa kiongozi wa Hamas
Jeshi la Israel limesema “lipo tayari kwa hali yoyote inayoweza kujitokeza” baada ya kufanya shambulio katika mji mkuu wa Lebanon Beirut na kumuua naibu kiongozi wa kundi la Hamas.Shambulizi hilo limezusha hofu ya vita vya Gaza kutanuka na kuwa mzozo…
Serikali yasaini mikataba sita ya uwekezaji mahiri wa wanyamapori
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) wametiliana saini ya mikataba sita ya uwekezaji katika Maeneo Maalum ya Uwekezaji wa Wanyamapori (Special Wildife Investment Concession Areas – SWICA) yenye…
TMA yatoa sababu ya kuongezeka kwa joto
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ya tathmini ya hali ya joto na mwenendo wake katika maeneo mbalimbali nchini. Kwa mujibu wa taarifa ya TMA kwa vyombo vya habari, imesema…
Majaliwa aiomba CCM kutoa fomu moja tu ya mgomba urais 2025
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Lindi Mbunge wa Jimbo la Ruangwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekiomba Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoa fomu moja tu ya mgombea urais 2025. Majaliwa ameyasema hayo wakati akizungumzia utekekezaji wa Ilani ya CCM ambapo amesema…
Ukatili, Bi mdogo apigwa, alishwa kinyesi
*Kisa? Kumzuia mumewe asikipige kichanga cha miezi miwili Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mara Katika tukio lisilokuwa la kawaida, mkazi wa Buchegera, Serengeti mkoani hapa, Nyaikongoro Ntumbo (28), anatuhumiwa kumpiga mkewe mdogo na kumlazimisha kula kinyesi. Akizungumza na JAMHURI, mwathirika wa…