Category: Habari Mpya
Waziri Mkuu : Watanzania limeni maparachichi
*Silinde asema sh. bilioni 3.4 kujenga kiwanda, ahimiza wananchi wauze mahindi NFRA WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wana-Iringa na Watanzania kwa ujumla waingie kwenye kilimo cha Parachichi kwa kuwa zao hilo linachochea ukuaji wa uchumi. Amesema kuwa katika kipindi cha…
Waziri Makamba aongoza kikao cha mwaziri nchi 15 za Jumuiya za EAC
Na Mwandishi Wetu, JamuhuriMedia, Zanzibar Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki January Makamba (Mb) ameongoza Mkutano wa faragha wa Mawaziri wa Mambo ya Nje na wanaoshughulikia masuala ya Afrika Mashariki katika Jumuiya ya Afrika Mashariki unaofanyika…
MAIPAC yazindua mradi wa mazingira, kupewa kiwanja Monduli
*Maarifa ya asili ya Wahadzabe katika uhifadhi kuandikwa Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Monduli Taasisi ya wanahabari ya Usaidizi wa Jamii za Pembezoni (MAIPAC) imezindua mradi wa uhifadhi wa mazingira kwa kutumia maarifa ya asili huko Halmashauri ya Monduli na kuahidiwa kiwanja…
Serikali kuweka mkazo wa maendeleo vijijini kupitia TARURA
Na Catherine Sungura, JamhuriMedia, Dodoma Serikali itaendelea kuweka mkazo wa kipekee katika kusukuma maendeleo vijijini kama njia sahihi ya kuchochoa uchumi jumuishi. Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Mhe. Prof. Kitila Mkumbo wakati wa…