Category: Habari Mpya
Kapinga akutana na kampuni za ETDCO na TCPM
…………………………… Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga ameziagiza Kampuni za kutengeneza Nguzo za Zege Tanzania (TCPM) na Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji Umeme (ETDCO) kutekeleza kile walichokikusudia kwa maslahi mapana…
Pwani yatoa fedha na vifaa vya vyenye thamani ya milioni 107.2/- Hanang
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Hanang OFISI ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani, ,wananchi na wadau Mkoani humo imetoa raslimali fedha na michango mbalimbali vyote vikiwa vimegharimu sh. milioni 107.2 kwa wakazi waliopata maafa ya mafuriko Hanang ,Desemba 3, 2023. Kati…
Pwani yalenga kuandikisha wanafunzi 51,446 darasa la kwanza, awali 55, 771
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani ,Abubakar Kunenge amefafanua kuwa, mkoa huo una malengo ya kuandikisha wanafunzi wa shule za awali 55,771 pamoja na wanafunzi 51,446 wa darasa la kwanza. Ameeeleza, hadi kufikia mwishoni mwa mwaka…
Idadi ya vifo vya tetemeko Japan yafikia 73
Idadi ya watu waliokufa katika tetemeko kubwa la ardhi nchini Japan imeongezeka na kufikia 73 mapema hii leo wakati shughuli ya kuwatafuta manusura ikiendelea. Vifo vyote vimeripotiwa kutokea katika eneo la Ishikawa lililoathirika zaidi na tetemeko hilo la ukubwa wa…
‘Rais wa zamani wa Afrika Kusini Thabo Mbeki yuko hai’
Rais wa zamani wa Afrika Kusini Thabo Mbeki ni mzima wa afya, imesema taasisi yake. Imesema hivyo baada ya taarifa kusambaa katika mitandao ya kijamii siku ya Jumatano ikizungumzia afya ya rais huyo wa zamani wa Afrika Kusini na madai…
Rais Mstaafu Kikwete ahudhuria sherehe za wajukuu zake kuhitimu kambi ya jando kijijini Msoga
Mchana wa tarehe 31 Desemba 2023 kijijini Msoga wilaya ya Chalinze mkoani Pwani ukoo wa Kikwete walikuwa na sherehe kubwa ya jando na unyago. Sherehe hiyo ilihusisha wavulana 11 na wasichana 7, wakiwemo watoto wa Ridhiwani Kikwete, Mbunge wa Chalinze…