JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Watanzania kupewa kipaumbele huduma migodini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amesema kwa mujibu wa Sheria ya Madini, Sura ya 123, serikali kupitia Tume ya Madini itaendelea kusimamia ununuzi wa bidhaa na huduma kwa kuhakikisha kipaumbele kinatolewa kwa Watanzania. Kauli hiyo…

Rais Dk Mwinyi ashuhudia karafuu za magendo bandarini Wete

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi ametembelea Bandari ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba katika ziara ya kushtukiza na kushuhudia karafuu za magendo tani 9.5 zenye thamani ya shilingi milioni 140 zilizotaka kusafirishwa kwa…

Mwanafunzi awapiga risasi watu 6 na kujiua mwenyewe, Marekani

Mwanafunzi mmoja amewapiga risasi watu sita, na kuuwa mmoja katika shule ya sekondari katika jimbo la Iowa nchini Marekani na kisha kujitoa uhai. Tukio hilo limetokea siku ya kwanza wanafunzi waliporudi shule baada ya mapumziko ya likizo, Polisi wamesema. Watano…

LATRA yatangaza ruti mpya 10 za daladala Dar

Mamlaka ya Usafiri wa Ardhini (LATRA), imetangaza ruti mpya 10 za daladala zitakazoanzia katika Kituo kipya cha Mwenge, jijini Da es salaam LATRA imeoredhesha ruti hizo kuwa ni, Mwenge kwenda Mbande Kisewe kupitia Barabara ya Mandela, Kilungule.  Mwenge kwenda Buza…

Dk Biteko apongeza juhudi za Rais Dk Samia kustawisha demokrasia nchini

📌 Asema amekuwa mfano Kitaifa na Kimataifa 📌 Apongeza Baraza la Vyama vya Siasa kukusanya maoni Miswada ya Sheria za Uchaguzi 📌 Awasisitiza kwenda bungeni kutoa maoni ya miswada Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Naibu Waziri Mkuu na…