JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

RC Kunenge akagua mahudhurio kidato cha kwanza na darasa la kwanza Pwani

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha HALI ya mahudhurio kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza na darasa la kwanza mkoani Pwani ni nzuri na inaridhisha ikiwa ni siku ya kwanza Januari 8 mwaka huu wakiripoti mashuleni. Mkuu wa mkoa wa Pwani,Abubakar…

Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Zanzibar, Dk Biteko afungua jengo la ofisi Mamlaka ya Maji Zanzibar

Kuelekea Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Zanzibar, 📌Awapongeza Rais Dkt. Samia na Dkt. Mwinyi kwa maono na miongozo yao kutekeleza Miradi ya kimkakati 📌Aipongeza Wizara ya Maji, Nishati na Madini kupitia ZAWA kwa kukamilisha Jengo lenye ubora na hadhi…

Mbunge Cherehani : Tumuombee Rais Samia akamilishe miradi ya maendeleo

Na Samuel Mmbanga, JamhuriMedia, Ushetu – Kahama Watanzania wamehamasishwa kuendelea kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan ili aweze kutekeleza na kukamilisha miradi ya maendeleo anayotekeleza. Rai hiyo imetolewa leo Januari 7 na Mbunge wa…

Hospitali ya Kairuki yaongeza chachu ya utalii wa tiba nchini

  Yasimika mtambo wa kisasa unaopatikana nchi tatu tu Afrika Tanzania sasa kupokea mamia ya wagonjwa kutoka nje Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam JITIHADA zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan kuigeuza Tanzania kuwa kitovu cha utalii tiba zinaendelea kupata…

Mchinjita autaka umakamu mwenyekiti ACT- Wazalendo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Lindi Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Mkoa wa Lindi, Isihaka Mchinjita amesema anatarajia kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa chama hicho upande wa Tanzania Bara. Kwa sasa nafasi hiyo kwa upande wa Tanzania Bara inashikiliwa…

Viongozi wa dini waombwa kuweka mkazo katika kusimamia maadili

Na Mwandishi wetu, JamhuriMedia, IringaViongozi wa dini wameombwa kuendelea kusimamia imara na kukemea matendo maovu yanayopelekea mmomonyoko wa maadili hususan kwa vijana hasa katika mazingira ya yanayoendeshwa zaidi na ulimwengu wa kidijitali. Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya…