JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Chalamila atoa onyo kwa wakuu wa shule kuchangisha michango holela

Asema wanaofanya hivyo waache maramoja kwani Serikali imeshashugulikia suala hilo Ahimiza matumizi ya sayansi na teknolojia katika kuwafundisha watoto Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Dar Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Januari 8, 2024 ametoa onyo kwa…

Dk Biteko ataka umoja wa vijana CCM kushikamana kuleta maendeleo

📌Awaasa kuisemea vyema Serikali 📌Awasisitiza kuwa chachu ya vijana wengine kujiunga na CCM Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo tarehe 8 Januari, 2024 amefungua Kongamano la Umoja wa Vijana…

Makamu wa Pili wa Rais amewataka wananchi kuyalinda na kuyaenzi Mapinduzi Matukufu Z’Bar

Makamu wa Pili wa Rais Hemed Suleiman Abdullah amewataka wananchi kuendelea kuyalinda na kuyaenzi Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kwa Kuunga Mkono jitihada za Serikali katika kuleta Maendeleo Nchini. Hemed ameyasema hayo katika hafla ya uwekaji wa jiwe la Msingi Skuli…

Hospitali ya Temeke kuboresha miundombinu yake

Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke inapanga kufanya maboresho makubwa ya miundombinu kwa kurekebisha jengo la bima na kujenga gorofa nne hadi sita. Lengo ni kuboresha huduma kwa wananchi. Hatua hii imethibitishwa katika kikao kazi cha timu ya uendeshaji kilichofanyika…

Rais Dk Mwinyi aifungua bandari ya makontena Fumba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea na hatua za kuimarisha sekta ya bandari kwa ujenzi wa maeneo mbalimbali ikiwemo ujenzi wa bandari jumuishi Mangapwani, bandari ya Shumba na Mkoani ili kuleta…