Category: Habari Mpya
Meneja TANROAD Ruvuma afariki ghafla wakati akishiriki mbio za Km 5
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROAD) Mkoa wa Ruvuma Mhandisi Mlima Ngaile amefariki dunia leo asubuhi wakati akishiriki mbio za Wiloles Foundation Marathon 2024 yenye lengo la kuchangia matibabu ya watoto waliozaliwa kabla ya muda…
DC Katwale, Watetezi wa Mama wakumbuka wafungwa Gereza la Chato
Na Daniel Limbe, JamhuriMedia, Chato MKUU wa Wilaya ya Chato mkoani Geita kwa kushirikiana na Taasisi ya Mtetezi wa Mama wilaya hiyo,wametembelea gereza na kutoa msaada wa sabuni,mafuta na taulo za kike kwa wafungwa na mahabusu waliopo kwenye gereza la…
Migogoro ya ardhi Dodoma yampeleka Naibu Waziri Pinda uwandani
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda ameingia uwandani kutatua na kufuatilia utekelezaji wa maagizo yake ya migogoro ya ardhi katika jiji la Dodoma. Mhe Pinda katika ziara yake hiyo…
Tumieni umeme wa REA kujiletea maendeleo si kuwasha taa tu – Mbunge Cherehani
Na Mathias Canal, JamhuriMedia Ushetu-Kahama Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Emannuel Cherehani amewataka wananchi kutumia uwepo wa umeme wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kujiletea maendeleo ya kiuchumi. MlMbunge Cherehani ameyasema hayo Januari 11 wakati akizungumza na wananchi katika Kijiji…
Rais Dk Mwinyi atunuku nishani 17
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amewatunuku Nishani watunukiwa 17 kati ya hao wanne washafariki na 13 wapo hai viongozi mbalimbali, askari na wananchi katika sherehe za kutunuku Nishani ya Mapinduzi, Utumishi uliotukuka, Utumishi…