Category: Habari Mpya
Makamu wa Rais awasili Uswisi kushriki mkutano wa WEF
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango, leo tarehe 14 Januari 2024 amewasili nchini Uswisi ambapo anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Jukwaa…
Chuo cha Hali ya Hewa chashauriwa kuanzisha shahada
ma Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar KATIBU Mkuu Wizara ya Uchukuzi, Prof. Godius Kahyarara ametoa rai kwa Chuo cha Hali ya Hewa Kigoma (NMTC) kuanzisha Shahada ya Sayansi ya Hali ya Hewa (Bsc. in Meteorology) ili kumrahisishia mwanafunzi anayetaka kujiunga katika…
Mbio za uchaguzi mikoa, ACT Tanga wapata viongozi wapya
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Wakati mbio za Uchaguzi katika ngazi ya mkoa kichama kwa Chama Cha ACT Wazalendo, zikiwa zimezinduliwa jana kwa mikoa miwili ya Tanga na Morogoro kufanya uchaguzi, sura mpya zimejitokeza ndani ya nafasi mbalimbali za uongozi kwa…
Prof. Mkumbo Akabidhi nyenzo za utendajikazi Timu ya Dira 2050
Na Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amekabidhi nyenzo za utendajikazi kwa Timu Kuu ya Wataalamu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ikiwa ni nyaraka muhimu zitakazotumika…
Vilio, simanzi vyatawala wakati wa kuaga mwili wa meneja TANROADS aliyefariki wakati akikimbia
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Vilio na simanzi vimetawala leo wakati wa kuuaga mwili wa aliyekuwa Meneja wa Wakala wa Barabara ( TANROADS ), Mkoa wa Ruvuma Mhandisi Mlima Felix Ngaile( 55) aliyefariki jana wakati akikimbia. Marehenu alifariki ghafla jana Januari 12, 2024 baada ya kupata mshituko…
Utekelezaji wa ufugaji samaki kwa vizimba waanza ziwa Tanganyika
Na Edward Kondela, JamhuriMedia, Rukwa Serikali imeanza utekelezaji wa ufugaji samaki kwa njia ya vizimba katika Ziwa Tanganyika baada ya mpango huo kuonesha mafanikio makubwa katika Ziwa Victoria. Akizungumza Januari 11, 2024 katika Mwalo wa Kasanga uliopo Wilaya ya Kalambo…