JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Naibu Waziri wa Uchukuzi Kihenzile atembelea banda la TPA

Banda la Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania TPA limeendelea kuwa kivutio kwa watembeleaji wa maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Zanzibar yanayoelekea ukingoni. Mbali na unadhifu wa Banda linalopambwa na picha kubwa za Bandari mbalimbali, kivutio kingine ni mifano…

Kamishna Mabula afanya ukaguzi wa karakana ya kisasa Manyoni, atoa maelekezo

Na Mwandishi wetu, JakhuriMedia, Manyoni Kamishna wa Uhifadhi wa TAWA Mabula Misungwi Nyanda ameeleza kufurahishwa kwake na ubora wa viwango vya ujenzi wa karakana ya matengenezo ya magari na mitambo iliyojengwa Kanda ya Kati ya TAWA wilayani Manyoni, karakana inayotajwa…

NCCR Mageuzi yakataa kushiriki maandamano , yampongeza Rais Mwinyi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Unguja Mwenyekiti Taifa wa Chama cha NCCR – Mageuzi, Haji Ambar Khamis amempongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa kusimamia vyema maadhimisho ya miaka  60  ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa…

CBE yaanza kutoa mafunzo wahudumu wa mabasi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimeanza kutoa mafunzo kwa wahudumu wa kwenye mabasi ya abiria ili kuifanya kazi hiyo kuheshimika kama zilivyo fani zingine. Hayo yalisemwa jana na Mkuu wa chuo cha…

Polisi Kigoma yanasa bunduki 16 za kivita kwenye msako

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kigoma Polisi mkoani Kigoma imefanikiwa kukamata jumla ya bunduki 16 aina mbalimbali zikihusishwa kutumika kwenye matukio ya uhalifu mkoani humo huku watu 13 wakikamatwa kwa tuhuma za kumiliki bunduki hizo. Kamanda wa Polisi Mkoa Kigoma, Filemon…

Majaliwa : Miaka 60 ya Mapinduzi yazipaisha sekta za elimu na afya

*Ampongeza Rais Dkt. Mwinyi kuyatekeleza malengo ya Mapinduzi kwa vitendo *Asema lazima yalindwe, yaheshimiwe na historia irithishwe kwa vizazi vyote *Asisitiza yalifanyika baada ya kuchoshwa na ubaguzi na utawala wa kikoloni *Asema uhuru tulionao sasa umetokana na ndugu zetu waliojitoa…