Category: Habari Mpya
Mwenyekiti CCM, Rais Samia amfagilia Gavu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Tanzania , Dk Samia Suluhu Hassan amemwagia sifa Katibu wa Idara ya Oganaizesheni ya CCM, Issa Haji Gavu. Akizungumza katika mkutano uliofanyika Wilaya ya Kati Mkoa Kusini…
Serikali imeamua kwa dhati kuwekeza kwenye miradi ya nishati
📌 Mkandarasi Mradi wa Julius Nyerere (JNHPP) alipwa kwa asilimia 88.7 📌 Mradi wafikia asilimia 95.8 Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, ameeleza kuwa, Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na…
Wanaouza bei ya sukari isiyo halali kukiona
Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Bodi ya Sukari Tanzania imewataka wafanyabiashara wanaouza na bei ya sukari isiyo halali kuacha mara moja na kwamba hatua kali za kisheria dhidi yao. Agizo hilo limetolewa leo Januari 18, 2024 jijini Dar…
Dalili 10 za mwanaume anayekupenda kweli
Miongoni mwa mambo yanayowatesa mabinti wengi ni kutokujua ni mwanaume gani hasa anayempenda kwa dhati, kwa sababu kuna mstari mwembamba sana unaotofautisha mwanaume mwenye mapenzi ya kweli na ‘tapeli’. Ungana na mimi mwandishi wako Isri Mohamed Anakuweka karibu na Mungu…
Taasisi za umma Kongwa zahimizwa kuwa na mipango ya matumizi ya ardhi
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mayeka Simon Mayeka amezielekeza Taasisi za Umma Wilayani Kongwa kuwa na mipango ya muda mrefu ya matumizi ya ardhi, itakayowezesha uhifadhi wa mazingira. Aidha amewataka wananchi kushiriki kwenye shughuli za…