JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Wanandoa mahakamani kwa kujeruhi jirani

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam Februari 19,2024 inatarajia kuanza kusikiliza kesi ya kujeruhi vibaya na kutoa lugha ya matusi inayomkabili wanandoa Bharat Nathwani (Maarufu ka Chiku wa Songea) (57), na mke wake Sangita Bharat Nathwani (54), ambao…

Wenyeviti vyama vya upinzani Dodoma walaani mpango wa maandamano CHADEMA

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Zikiwa zimesalia siku tano kufanyika kwa maandamano ya amani yanayoratibiwa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kuishinikiza Serikali kuzingatia maoni na mapendekezo ya wadau wa Demokrasia nchini,baadhi ya Vyama vya upinzani mkoani hapa vimelaani maandamano…

TEF yawafariji waathirika Kilosa

Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), leo limekabidhi msaada wa kiutu kwa waathirika wa mafuriko wilayani Kilosa mkoani Morogoro yaliyotokea hivi karibuni. Msaada huo wa vyakula na nguo za watoto na wakubwa umewasilishwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Jukwaa…

Serikali yaanza usambazaji vifaa tiba kwenye majimbo kupunguza vifo vya mama na mtoto

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro BOHARI ya Dawa (MSD), imeanza usambazaji majimboni vifaa tiba vilivyonunuliwa na Serikali vyenye thamani ya zaidi ya Sh bilioni 14.7 kwa ajili ya hospitali, vituo vya afya na zahanati lengo ni kupunguza vifo vya mama…

Ofisi ya Msajili wa vyama yatoa maagizo kwa vyama vya siasa

Na Isri Mohamed Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imetoa maagizo kwa vyama vya siasa kufanya uchaguzi wa viongozi wapya katika nafasi ambazo viongozi waliopo muda wao unaelekea ukingoni. Maagizo hayo yametolewa kwa njia ya barua leo Januari…

Dk Mpango : Ni wakati kwa watunga sera Afrika wakatambua umuhimu wa kilimo

Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango amesema ni wakati umefika kwa watunga sera barani Afrika kutambua umuhimu wa kilimo na wakulima ili kuweza kutumia vema fursa ya ardhi ya Afrika kujiletea maendeleo. Makamu wa Rais amesema hayo wakati akishiriki mjadala…