Category: Habari Mpya
Baada ya kuwekewa puto Mloganzila nimepungua kutoka kilo 150 hadi 99
Vicent Fortunatus amesema huduma aliyowekewa ya puto maalumu (intragastric balloon) pamoja na kupunguza zaidi ya kilo 50 imekuwa na mafanikio makubwa ikiwemo kuondokana na changamoto ya maumivu ya mgongo, mwili kuwa mwepesi na kuwa rahisi kwake kutekeleza majukumu ambayo awali…
Bashe ataja sababu ya upungufu wa sukari
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema hali uzalishaji wa sukari katika viwanda saba nchini imeshuka hadi kufikia tani 1,000 kwa siku kutokana na mvua za El-nino zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini. Amesema mvua hizo zimeathiri hali…
Mvua ya upepo yaezua nyumba 20, makanisa Njombe
NJOMBE, Mvua iliyoambatana na upepo mkali jioni ya tarehe 19/1/2024 imesababisha kaya zaidi ya 20 kukosa makazi kwa kuezua bati la nyumba na zingine kubomoka katika kata ya Luwumbu, Lupalilo na Mang’oto Taasisi kadhaa pia zimekumbwa na maafa hayo ikiwemo…
Bashungwa aagiza daraja la Nzali – Chamwino kujengwa haraka
na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Mhandisi, Aisha Amour, kutafuta haraka mkandarasi wa kujenga daraja la Nzali, lililopo wilayani Chamwino, mkoani Dodoma mara tu baada ya hatua za usanifu…