Category: Habari Mpya
TANROAD yarejesha mawasiliano ya barabara ya Kunduchi Mtongani ndani ya saa 48
Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar ea Salaam TANROAD imefanya jitihada za haraka kurejesha mawasiliano barabara ya Kunduchi Mtongani ndani ya masaa 48 baada ya daraja la Tegeta kingo zake kubomoka kutokana mvua kubwa iliyonyesha Jumamosi kuamkia Jumapili na kusababisha magari…
Simba, suala la ujenzi wa uwanja mmepigaje hapo?
Na Isri Mohamed,JamhuriMedia, Dar es Klabu ya soka ya Simba jana Januari 21,2024 Â imefanya mkutano wake mkuu wa kujadili katiba yao, kutoa mrejesho wa mapato na matumizi ya klabu kwa mwaka 2023, sambamba na makadirio kwa mwaka 2024. katika mkutano…
Timu ya Mlandege wapeleka kombe Ikulu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemedi Suleiman Abdulla wakati akiwasili viwanja vya Ikulu katikati hafla ya Chakula cha…
Rais Samia aalikwa Vatican na Papa Francis
Kufuatia mualiko wa kiongozi mkuu wa Kanisa Katoloki duniani na nchi ya Vatican Papa Francis, Rais Samia Suluhu Hassan atafanya Ziara ya Kitaifa tarehe 11 hadi 12 Februari, 2024. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Waziri wa…
Dk Biteko, Waziri wa Nishati Misri wazungumzia maendeleo mradi wa JNHPP
đź“ŚMajaribio ya mwanzo mtambo Na.9 JNHPP yaleta mafanikio đź“ŚKilowati 100 zaanza kuingizwa gridi ya Taifa đź“ŚWaridhishwa na utekelezaji wa mradi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Nyumba, Nishati…
Serikali yaahidi kurejesha hali ya miundombinu ya barabara iliyoathirika na mvua
N Mwandishi Wetu, Jamhuriamedia, Dar ea Salaam Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulika na Sera, Bunge na Uratibu Ummy Nderiananga amepongeza Kamati ya Maafa ya Mkoa wa Dar es Salaam kwa jitihada mbalimbali za kurejesha hali katika maeneo ambayo…