Category: Habari Mpya
Wananchi Kibosho waiomba Serikali kuwajengea vivuko vya kudumu
Na Ashrack Miraji, JamhuriMedia, Kilimanjaro Wananchi wa Kata ya Kibosho,wilayani Moshi Mkoa wa Kilimanjaro,wameungana na wadau wa maendeleo kushiriki katika ujenzi wa daraja linalounganisha vijiji vitatu. Daraja hili litawezesha wakazi zaidi ya 6,000 kupata huduma za kijamii na kuwezesha watoto…
Rais Samia aridhia ombi la Msajili Hazina kuwa na siku maalum kutoa gawio
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la Msajili wa Hazina Nehemia Mchechu la kutenga siku maalum kila mwaka na kuwa siku ya Mashirika na Taasisi za…
Taasisi ya Mama Ongea na mwanao yaweka tabasamu kwa watoto wenye mahitaji maalumu
Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia,Dar es Salaam TAASISI ya Mama Ongea na Mwanao kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo wametoa Baskeli za 250 kwa watoto wenye mahitaji maalumu (Walemavu) 250 ili kuwasaidia kutimiza ndoto zao za kupata elimu . Akizungumza na Waandishi…
Ndege iliyombeba Makamu wa Rais wa Malawi imepoteza uelekeo
Ndege ya kijeshi iliyokua imembeba Makamu wa Rais wa Malawi Saulos Chilima, sambamba na watu wengine tisa imepoteza uelekeo wake na kutojulikana ilipo Taarifa kutoka ofisi ya rais imesema ndege hiyo ilianza safari yake majira ya saa tatu asubuhi ya…