Category: Habari Mpya
Afisa Mhifadhi Kanda ya Kusini awashauri Watanzania kutembelea hifadhi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Makete AFISA Mhifadhi mkuu wa Kanda ya Kusini Jonathan Kaihura ametoa wito kwa Watanzania kujenga tabia ya kutembelea vivutio mbalimbali vilivyopo katika hifadhi zetu hapa nchini na hasa Hifadhi ya Taifa za Kitulo iliyopo mkoani Njombe…
Muhimbili: Mtoto atolewa skrubu (screw) iliyokuwa kwenye mapafu yake
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mtoto mwingine ametolewa Skrubu (Screw) kwenye mapafu yake kwa kutumia kifaa chenye kamera na kwenda kuinasa na kisha kuitoa ambayo alikua akiichezea kinywani mwake wakati akiwa shuleni na hatimaye kumpalia na kisha kukwama…
Rais Samia alitaka JWTZ lijikite kwenye kutumia mbinu za kisayansi
Rais Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) lijikite kwenye kutumia mbinu za kisayansi na teknolojia katika kazi zao ili kudumisha ulinzi na usalama. Rais Samia ameyasema hayo alipokuwa akifungua Mkutano Mkuu wa Saba wa CDF na Makamanda wa…
Mahakama Kuu Kanda ya Shinyanga yasikiliza mashauri yote mwaka 2023
Na Suzy Butondo, JamhuriMedia, Shinyanga Jaji Mfawidhi wa Mahaka Kuu kanda ya Shinyanga Frank Habibu Muhimbali amesema mahakama hiyo imefanikiwa kusikiliza mashauri yote kwa mwaka 2023 yakiwemo mashauri ya migogoro ya ardhi,yakifuatiwa na mashauri ya makosa ya jinai na mauaji…