JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

MAB yafanya ziara katika viwanda vya dawa nchini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wajumbe wa Bodi ya Ushauri ya Wizara ya Afya kwa TMDA (MAB), wamefanya ziara katika viwanda vinavyozalisha bidhaa za dawa na vifaa tiba vilivyoko katika mikoa ya Dar es Salaam na pwani kwa…

Maporomoko ya maji ni kivutio kizuri Hifadhi ya Kitulo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kitulo Watanzania wamehamasishwa kujenga tabia ya kutembelea vivutio mbalimbali vilivyopo nchini vikiwamo vya Hifadhi ya Taifa Kitulo. Hifadhi hiyo iliyopo kwenye mikoa mwili; Njombe katika Wilaya ya Makete na Mkoa wa Mbeya katika Wilaya za Rungwe…

Biteko : Kutokutatua kero za wananchi kuna kera Rais Samia

📌Ataka Viongozi Serikalini kutatua kero za wananchi na si kusikiliza tu 📌Aagiza viongozi kuhakikisha wanafunzi wote wanaripoti mashuleni kabla ya Machi 📌Awasha umeme Kijiji cha Magodi na Kigandini wilayani Mkinga 📌Apongeza REA kwa ufanisi wa usambazaji umeme mkoani Tanga Naibu…

Matokeo ya kidato cha nne 2023 haya hapa

Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA),  limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika Novemba 13 hadi 30, 2023. Matokeo hayo yametangazwa leo Januari 25, 2024 na Katibu Mtendaji wa NECTA Dk Said Mohammed https://matokeo.necta.go.tz/results/2023/csee/CSEE%202023.htm

Waziri Mkuu akutana na Naibu Waziri Mkuu wa China

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo Jumanne Januari 23, 2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa China, Liu Guozhong ambaye aliwasili nchini jana Jumatatu Januari 22, 2024…

Mil. 622/- kulipa fidia Njombe kwa kaya 31

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi kutenga kiasi cha Sh.  milioni  622 kwa ajili ya kulipa fidia kwa kaya 31 za wananchi waliopisha ujenzi wa barabara ya Ndulamo-Nkenja-Kitulo Km 42.2 inayojengwa kwa kiwango cha lami….