Category: Habari Mpya
CBE yaanza kufundisha Shahada za Umahiri mtandaoni
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimeanza kutoa Shahada za Umahiri kwa njia ya mtandao kwa fani sita njia ambayo imeanza kuchangamkiwa na wasomi wengi kutokana na kuwa nafuu kulinganisha na kusoma darasani. Hayo yamesemwa…
DCEA yatangaza kiama kwa wazalishaji, wauzaji na wasafirishaji dawa za kulevya
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma MAMALAKA ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya (DCEA) kupitia oparesheni zake mbalimbali imebaini watoto wengi waliocha shule na waliotelekezwa mitaani ndiyo wengi wanaotumika kwenye magendo ya kusafirisha dawa za kulevya kwenye maeneo mbalimbali…
Polisi watoa ufafanuzi kupotea baba, mtoto Geita, kuchunguza waliopotea
Na Abel Paul,Jeshi la Polisi, Dodoma Jeshi la Polisi nchini limetoa ufafanuzi wa taarifa iliyo ripotiwa katika baadhi ya vyombo vya Habari ambayo ilikuwa na kichwa cha habari kisemacho, kashfa Polisi yahusishwa na kutekwa kwa Baba na mwanawe. Akitoa taarifa…
Mwarobaini wa miundombinu korofi Serengeti wapatikana
Kamishna Kuji atoa maelekezo mahususi Serengeti Na Edmund Salaho, JamhuriMedia, Serengeti Kamishna wa Uhifadhi – TANAPA Juma Kuji leo amefanya ziara ya kukagua miundombinu katika Hifadhi ya Taifa Serengeti na kuiagiza Menejimenti ya Hifadhi ya Taifa Serengeti kushughulikia mara moja…
Mwakinyo abadilishiwa mpinzani, apewa mjeshi
Ikiwa imesalia siku moja kufikia Januari 27, 2024 siku ya pambano la ‘Mtata Mtatuzi’, Bondia Hassan Mwakinyo amebadilishwa mpinzani wa kucheza nae na kupewa Elvis Ahorgah kutoka Ghana. Mwakinyo ambaye awali alitakiwa kucheza na Mbiya Kanku kutoka Congo, wakiwania mkanda…
EBN Hunting Safari Ltd yatoa gari Burunge WMA kusaidia kupambana na ujangili
Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Babati Kampuni ya Uwindaji wa Kitalii ya EBN Hunting Safari Ltd ambayo inafanya shughuli zake katika kitalu cha uwindaji cha Hifadhi ya Jamii ya Qanyamapori ya Burunge wilayani Babati imetoa gari aina ya Land Cruiser ili kusaidia…