JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Simba wamsamehe Chama

Klabu ya soka ya Simba leo Februari 2, imetangaza rasmi kumsamehe kiungo wao Clatous Chama Baada ya kumsimamisha kwa zaidi ya mwezi mmoja. Kupitia ukurasa wao wa Instagram Simba wametoa taarifa ya maamuzi hayo ambayo yamefanywa na kamati ya ufundi…

Wengine 600 wahama kwa hiari Hifadhi ya Ngorongoro

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Serikali imelipongeza kundi la watu 600 waliokuwa wakazi ndani ya hifadhi ya Ngorongoro kwa uamuzi wao wa hiari wa kupisha shughuli za uhifadhi ndani ya hifadhi hiyo. Pongezi hizo zimetolewa leo Februari 1, 2024 na…

SerikaliIl imetenga bil.899.4/- kuajiri wahudumu wa afya ngazi ya jamii 137,294

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetenga jumla ya Tsh. bilioni 899.4 kwa ajili ya kutekeleza mpango wa kuajiri na kuwajengea uwezo jumla ya Wahudumu…

CBE yaanza kufundisha Shahada za Umahiri mtandaoni

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimeanza kutoa Shahada za Umahiri kwa njia ya mtandao kwa fani sita njia ambayo imeanza kuchangamkiwa na wasomi wengi kutokana na kuwa nafuu kulinganisha na kusoma darasani. Hayo yamesemwa…