Category: Habari Mpya
Ushawishi wa Tanzania Duniani unategemeana na sera ya Mambo ya Nje inayorekebishwa
Na Mwandishi Maalum Imeelezwa kuwa ili Tanzania iweze kufikia malengo ya Maendeleo iliyojiwekea, lazima iwe na Sera Bora ya Mambo ya Nje inayozingatia maoni na matakwa ya makundi yote ya wadau nchini. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi…
Mchengerwa : Imarisheni ulinzi wa vifaa vipya vya TEHAMA shuleni
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa amewaelekeza Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakurugenzi wa Halmashauri kuhakikisha wanaimarisha ulinzi na kufikisha kwenye vituo teule vifaa vya TEHAMA vilivyogawiwa kwa vituo zaidi ya…
Usambazaji dawa kwa kutumia ndege zisizokuwa na rubaini kufanyiwa majaribio
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema Serikali imekamilisha kuingiza vituo vyote kwenye mfumo wa kuhifadhi taarifa zote za vituo kuanzia ngazi ya Zahanati hadi Taifa ili kuufanyia majaribio na pia kutazama gharama za…
Dk Mwinyi akutana na sekretarieti za CCM Mikoa na Wilaya Zanzibar
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na sekretarieti ya kamati maalum, sekretarieti za Mikoa na Wilaya CCM Zanzibar katika kikao chake cha kwanza…
TAKUKURU Temeke yasimamisha ujenzi wa kituo cha mafuta
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Mkoa wa Temeke imesimamisha ujenzi wa kituo cha mafuta uliokuwa unaendelea katika kiwanja namba P.18435 eneo la Mbagala Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam….