JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

TAKUKURU Shinyanga yawataka wananchi kujihadhari na matapeli wanaojifanya maafisa wa Serikali

Na Suzy Butondo, JamhuriMedia, Shinyanga Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa mkoani Shinyanga, Donasian Kessy amewataka wananchi kujihadhali na wimbi la matapeli lililoibuka hivi karibuni,ambalo limekuwa likitapeli watu kwa kutumia simu za mkononi. Tahadhali hiyo ameitoa leo…

Dk Nchimbi azungumza na watumishi wa CCM

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na watumishi wa CCM Makao Makuu pamoja na jumuiya zake, Jumuiya ya Wazazi, Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), kwenye Ukumbi…

Kampuni ya Prezidar yafikishwa kizimbani kwa tuhuma za kuhujumu mapato ya Serikali

Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ( TAKUKURU) Kinondoni kwa kushirikiana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya hiyo katika kipindi cha miezi miatatu Oktoba hadi Desemba 2023 imefanya uchunguzi kwa…

Serikali yataka WMA kuwashughulikia wafanyabiashara wanaowanyonya wakulima

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa, ameuagiza Wakala wa Vipimo (WMA) kuwashughulikia wafanyabiashara wanao wanyonya wakulima kwa kutumia ujazo uliopitiliza unaojulikana kama lumbesa na kueleza kuwa kipimo hicho ni mwiba kwa wakulima…

Wafanyabiashara wa mafuta zingatieni maisha ya wananchi – Dk Biteko

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Chama cha Waagizaji na Wasambazaji wa Mafuta nchini (TAOMAC) ambapo amewataka wafanyabiashara hao pamoja na faida wanayoipata wazingatie…

Wadau Serikali mtandao wakutana kujadili matumizi ya TEHAMA Arusha

Na Zulfa Mfinanga,Jamhurimedia, Arusha Agizo la Rais la kuzitaka Taasisi za serikali kufanya kazi kidigitali linaendelea kutekelezwa ambapo leo wadau wa serikali Mtandao (eGA) wamekutana jijini Arusha kwa kikao cha siku tatu cha kujadili matumizi ya TEHAMA serikalini. Kikazi kazi…