JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Majaliwa aongoza kikao cha Kamati ya Mawaziri kuhusu nishati safi ya kupikia

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameongoza kikao cha Kamati ya Mawaziri kuhusu Nishati safi ya kupikia, katika ukumbi wa Spika, bungeni jijini Dodoma. Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko.

Serikali yatimiza ahadi ya kupeleka umeme wa uhakika Lindi na Mtwara

📌 Mtambo wa Megawati 20 wawasili mkoani Mtwara 📌 Wabunge wapongeza Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara Serikali imeendelea kutekeleza ahadi ya kupeleka umeme wa uhakika katika mikoa ya Lindi na Mtwara ambapo leo Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi…

Serikali yasaini mkataba wa umeme wa megawatt 49.5 kutibu kero ya umeme Kigoma

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati nchini Dkt ,Dotto Biteko ameshuhudia utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa mradi wa Uzalishaji umeme wa megawatt 49.5 kwa nguvu ya maji katika mto Malagalasi Mkoani Kigoma Utakaogharimu…

Vyanzo vipya vya umeme kuanzishwa kukidhi ongezeko la mahitaji – Dk Biteko

📌Ashuhudia utiaji saini mkataba Mradi wa Umeme Malagarasi (49.5) 📌Aagiza TANESCO kuondokana na urasimu kwenye miradi ya umeme 📌Wabunge KIGOMA wapongeza Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Serikali imeamua…

Wafanyabiashara wadogo, makundi maalum yapewe kipaumbele ununuzi wa umma – Dk Biteko

📌Ashuhudia makubaliano ya PPRA na NEEC kuwezesha makundi maalum 📌Aagiza rufaa za makundi maalum PPRA zisikilizwe haraka 📌Ataka makundi maalum yajengewe uwezo kuweza kushindana na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko…

Waziri Simbachawene, “awapongeza walimu Mpwapwa”

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dodoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora George Simbachawene amewapongeza Idara ya Elimu sekondari ya Halmashauri ya wilaya ya Mpwapwa kwa kufanya vizuri katika Mtihani wa kidato cha nne…