JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

MSD, wadau wa afya Kanda ya Mbeya waweka mikakati ya uboreshaji na upatikanaji bidhaa za afya

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya BOHARI ya Dawa (MSD) imewatambua na kuwapongeza wadau wake wa Kanda ya Mbeya kwa ushirikiano na umahiri wao katika uboreshaji na upatikanaji wa bidhaa za afya kwenye maeneo yao. Akizungumza katika mkutano huo wa wadau…

Watumishi sekta ya ardhi watakiwa kutokuwa chanzo cha migogoro ya ardhi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tabora Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga amewataka watumishi wa sekta ya ardhi kutokuwa chanzo cha migogoro ya ardhi na badala yake wawe wasuluhishi wa migogoro hiyo. Aidha, amewataka…

Mtoto wa Mutukudzi apagawisha Sauti za Busara 2024

Na Andrew Chale, JamhuriMedia, Zanzibar MTOTO wa gwiji wa muziki wa Afrika, Hayati Oliver Mutukudzi, Selmor Mutukudzi amekonga nyoyo za mashabiki mbalimbali waliofurika viunga vya Ngome Kongwe ndani ya Mambo Club Unguja, Zanzibar, katika usiku wa tamasha la 21, lililoanza…

Ikupa Foundation yawashika mkono wenye mahitaji maalum

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Mbunge wa viti maalum Stella Ikupa ametoa wito kwa wadau mbalimbali kuendelea kusaidia makundi ya watu wenye uhitaji wakiwemo walemavu ambao wamekuwa na mahitaji mengi. Aidha ametoa msaada wa vitu mbalimbali kwa watu wenye ualibino mkoani hapa…

Naibu Waziri Pinda ataka upendo kwa watumishi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geophrey Pinda ametaka kuwepo upendo miongoni mwa watumishi ili waweze kutekeleza majukumu kwa ufanisi. Aidha, amewataka watumishi hao wa sekta ya ardhi kufanya kazi kwa bidii…