Category: Habari Mpya
Majaliwa awataka watumishi wa Serikali kuacha urasimu
WAZIRI mkuu wa Tanzania,Kasimu Majaliwa amewataka Watumishi wa serikali kuacha urasimu pindi wanapohudumia wananchi badala yake wahudumie wananchi na kutatua kero zao kwa wakati. Ameyasema hayo leo mkoani Arusha wakati akifungua mkutano mkuu wa 14 wa Taasisi ya Maboresho ya…
Wahariri wa vyombo vya habari watakiwa kuelimisha jamii umuhimu wa kujiandikisha
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Darbea Salaam Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewaasa wahariri wa vyombo vya habari kuwahabarisha na kuwaelimisha wananchi juu ya umuhimu wa kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Akizungumza…
Ubalozi wa Tanzania Nigeria, TIC waandaa kongamano la uwekezaji
Na Mwandishi Wetu SERIKALI ya Tanzania kwa kushirikiana na Ubaozi wa Nigeria imefanya kongamano kubwa la uwekezaji nchini humo lengo ikiwa ni kuvutia wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali ndani ya Afrika. Kongamano hilo ambalo lilifanyika kwenye miji ya Lagos na Enugu…
Tanzania kuendelea kutoa kipaumbele vyanzo mbadala vya umeme
📌 Lengo ni kujihakikishia umeme wa kutosha na uhakika 📌 Dkt. Biteko akutana na wadau wa chemba ya wafanyabiashara wa Ujerumani na wadau wa nishati 📌 Aiomba Ujerumani kuendelea kufadhili miradi ya nishati Na Mwandishi Maalum Naibu Waziri Mkuu na…
Kishindo cha Rais Samia Singida, bilioni 93 zatolewa uwekaji taa, ujenzi barabara na madaraja
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Singida Serikali imetoa kiasi cha takribani Bilioni 93 Katika kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan madarakani kwa ajili ya miradi ya uwekaji taa za…
Mndeme : Ajenda ya kutumia nishati safi ya kupikia ni uchumi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Christina Mndeme amesema ajenda ya kutumia nishati safi ya kupikia ni uchumi kwani inaokoa muda wa kutafuta kuni na kujikita kwenye shughuli za…