JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

‘Tuitunze kwa faida ya sasa na kizazi kijacho’

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi wa Polisi Benjamin Kuzaga amewataka Maafisa, Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali kulinda na kuitunza miti iliyopandwa katika maeneo yao. Kauli hiyo ameitoa leo Februari 14, 2024 wakati akiongoza zoezi la upandaji…

Kliniki maalumu za matibabu ya moyo na mishipa ya damu Geita

Wataalamu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato (CZRH) iliyopo Mkoani Geita watatoa  huduma za tiba mkoba zijulikanazo  kwa  jina la  Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Outreach Services kwa…

Matukio ya Waziri Mkuu akiwa bungeni

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, Bungeni jijini Dodoma, Februari 14.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Profesa…

Bilioni 2 kutumika kuboresha miundombinu Hospitali ya Rufaa Simiyu

Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema Serikali imetenga kiasi cha shilingi bilioni mbili kwa mwaka wa fedha 2023/2024 kwa ajili ya kuanza ujenzi wa wodi za kulaza wagonjwa wa ndani pamoja na ujenzi wa uzio katika Hospitali ya…

GST kurusha ndege nyuki Mirerani

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dodoma Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) kwa kushirikiana na Kampuni ya Tukutech Company Ltd kutoka Tanzania, Zanifi Enterprise Ltd kutoka Zambia na Radai OY kutoka Finland zinakusudia kurusha ndege nyuki (drone) angani kwa…

Wadau wa vyombo vya utangazaji nchini wamuenzi hayati Lowassa

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Ikiwa ni Mkutano wa mwaka wa vyombo vya Utangazaji nchini,Wadau wa vyombo vyombo hivyo wametumia dakika tano kumuenzi aliyewahi kuwa Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania Edward Lowassa ambaye alifariki dunia February 10,2024 akiwa anapatiwa matibabu jijini Dar…