JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Prof. Mdoe apongeza walimu wakuu 369 kupata mafunzo ya uongozi

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. James Mdoe, amefungua mafunzo ya Uongozi, Usimamizi na Uendeshaji wa Shule yanayoendeshwa na ADEM kwa Walimu Wakuu wa Mkoa wa Tanga katika Chuo cha Ualimu…

Watoto 174, 298 walengwa kupata chanjo ya Surua Rubella Pwani – Kunenge

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkoa wa Pwani ,unalenga kufikia watoto wenye umri chini ya miaka mitano 174,298 kwa ajili ya kupata chanjo ya Surua – Rubella inayotolewa katika maeneo mbalimbali. Kampeni ya chanjo hiyo tayari imeanza Februari 15 mwaka…

Bil.30 zimeshapelekwa TARURA kutatua kero ya barabara zilizoharibiwa na mvua

OR-TAMISEMI NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Deogratius Ndejembi amesema Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba ameshaelekeza Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kupatiwa Sh. Bilioni 30 ili iweze kutatua changamoto ya barabara kwenye maeneo mbalimbali nchini. Mhe.Ndejembi ametoa…