Category: Habari Mpya
Serikali, Benki ya Dunia wakutana kujadili mradi wa Tanzania ya Kidijitali
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Serikali ya Tanzania na Benki ya Dunia-WB, wanaendelea na majadiliano ya namna ya utekelezaji wa mradi wa Tanzania ya kidijitali, ambapo wataalam kutoka katika Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na Ofisi ya Rais,…
Polisi na IHET waja na mifumo kudhibiti shule za udereva zisizokuwa na sifa nchini
Na Abel Paul,Jeshi la Polisi- Arusha Katika kuhakikisha mifumo inaondoa changamoto na malalamiko kwa wananchi hususani katika shule za udereva ambazo hazijasajiliwa, Jeshi la Polisi na Taasisi ya Mitambo Mizito na Teknolojia IHET wamekuja na mfumo uitwao (DSRS) Driving School…
LHRC yaitaka serikali kuchukua hatua kukatika umeme
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeitaka serikali kuchukua hatua za haraka kuhakikisha umeme wa uhakika unapatikana ndani ya muda mfupi. Pia kimetoa wito kwa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kupanga…
Kiduku: Mwakinyo anataka bilioni tupigane
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wakati mashabiki na wadau wa mchezo wa ngumi nchini wakiendelea kushinikiza kutaka pambano kati ya mabondia Twaha Kiduku na Hassan Mwakinyo liandaliwe ili kumaliza utata wa nani ni bingwa wa mwenzake, Kiduku ameibuka…
Watano wafariki wakati wakivuka mto Ruvuma
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tunduru Watu watano wamefariki dunia na wengine saba wamenusulika kifo baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria kusombwa na maji katika kivuko cha mto Ruvuma kuelekea nchi jirani ya Msumbiji. Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Julius Mtatiro amesema…