Category: Habari Mpya
Tutunze fasihi-Prof Mkenda
Na Mwandishi Wetu, Jamhurimedia, Dar es Salaam Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda amesema ili kukuza lugha zetu ni lazima tuendeleze, tutunze na kuenzi fasihi. Prof. Adolf Mkenda ameyasema hayo leo Februari 20, 2024 jijini Dar es…
Maofisa Polisi waliopanda vyeo wala kiapo cha utii, maadili
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar ea Salaam Maofisa wa Jeshi la Polisi 155 waliopandishwa vyeo na Rais Samia Suluhu Hassan wamekula kiapo cha utii kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Camilius Wambura. Maofisa hao pia wamekula kiapo cha maadili…
Simba wamuacha Ayoub Dar, waelekea Ivory Coast
Kikosi cha klabu ya Simba usiku wa kuamkia leo kimeondoka kuelekea nchini Ivory Coast kwa ajili ya mchezo wa ligi ya mabingwa Afrika kundi B dhidi ya Asec Mimosas utakaochezwa Ijumaa ya Februari 23, 2024. Simba wamesafiri na wachezaji 23,…
Kuelekea masika 2024 :TMA yapongezwa kwa ushirikiano na wadau
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar ea Salaam Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Jaji Mshibe Ali Bakari ameipongeza TMA kwa kuendelea kushirikisha sekta mbalimbali nchini katika shughuli za utoaji wa huduma za hali ya hewa….
Nyongo : Serikaki wekeni mazingira rafiki kwa wawekezaji wa viwanda vya dawa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI imeendelea kutoa wito kwa Serikali kuweka mazingira rafiki kwa wawekezaji wa viwanda vya dawa ili kuongeza kasi ya upatikanaji wa dawa nchini. Wito huo…
Yanga VS CR Belouizdad ni Paccome day
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia Kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) kati ya Yanga dhidi ya CR Belouizdad, afisa habari wa Yanga, Ali Kamwe ameitangaza siku hiyo kuwa maalum kwa mchezaji Paccome Zouzoua ‘Paccome Day’. Mchezo huo wa kundi…