JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Nchimbi : Wasiotimiza wajibu wao, wabinafsi siku zao zinahesabika

*Awataka wanaosuasua kukaza buti *Asema anaweza kula kiapo, Kamala alichukia rushwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amewatahadharisha viongozi wote wanaotokana na CCM wasiotimiza wajibu wao kuwatumikia watu, kwa kadri ya matarajio ya Chama…

Mpimbwe yapendekezwa kuwa wilaya

Na Munir Shemweta, JamhuriMedia, Katavi Kamati ya Ushauri ya Maendeleo ya Mkoa wa Katavi (RCC) imependekeza Halmashauri ya Mpimbe kuwa wilaya kamili ambapo kwa sasa halmashauri hiyo iko katika wilaya ya Mlele. Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya…

Wizara ya Ujenzi Misri, Tanzania zakubaliana kuboresha barabara inayopita mikoa sita

WIZARA ya Ujenzi na Uchukuzi imeingia makubaliano na wizara ya uchukuzi kutoka nchini Misri yenye nia ya kutengeneza kipande cha barabara inayopita katika mikoa 6 hapa nchini na inayoitwa inaitwa “The Cairo to Cape Town Trans Number 4” (Barabara kuu…

Waziri Makamba kuendelea kuipaisha diplomasia ya uchumi katika mkutano wa Raisina

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, January Makamba, anatarajiwa kushiriki katika Mkutano wa 9 wa RAISINA (9TH RAISINA Dialogue) unaotarajiwa kufanyika nchini India kuanzia Februari 21 hadi 23, 2024. Ushiriki wake katika mkutano huo…

Polisi kuchunguza aliyejifanya mganga wa kienyeji na kuwalewesha watu 16 wa familia moja

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linachunguza tukio la mtu mmoja aliyejifanya mganga wa jadi huko maeneo ya Mji mwema, Kigamboni, Dar es Salaam kwa kuwanywesha dawa inayodhaniwa kuwa ni…

TIMEXPO 2024 kuanza Septemba 26, mwaka huu, Dar

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Shirikisho la Wenye Viwanda Tanzania (CTI) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maendeleo na Biashara Tanzania (TanTrade) wamefungua rasmi maonesho ya pili ya Kimataifa ya wazalishaji Tanzania (TIMEXPO 2024). Maonesho hayo yanatarajiwa kufanyika Septemba…