Category: Habari Mpya
Kampuni zaidi ya 500 za kitaifa na kimataifa kushiriki
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SHIRIKISHO la Wenye Viwanda nchini ( CTI) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara (Tantrade), wamezindua mipango ya ushiriki wa Maonesho ya Kimataifa ya Wazalishaji Tanzania 2024, Tanzania International Manufacturers Expo (TIMEXPO2024)….
Nassor Marhun aapa kutetea ushindi wa ACT Wazalendo 2025
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mgombea Mwenza wa Ngome ya Vijana, Nassor Ahmed Marhun amewaahidi vijana wa ACT Wazalendo kuwa endapo watachaguliwa wamejipanga kutafuta na kutetea ushindi wa chama chao katika Uchaguzi Mkuu wa 2025. Marhun ametoa kauli…
Mahakama yakubali ombi la wakili Malando kupitia shauri la mirathi la mteja wake
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Nzega Wakili Edward Malando anayewawakilisha upande mmoja wa ndugu wanaovuna kwenye shauri la mirathi ya Zena Jalakhan ameomba Mahakama impe muda apitie jalada la shauri hilo. Wakili Malando aliwasilisha maombi hayo jana katika Mahakama ya Mwanzo…
Nondo achukua fomu kutetea nafasi yake
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa chama cha ACT Wazalendo, Abdul Nondo amechukua fomu ya kugombea Uenyekiti wa Ngome hiyo ikiwa ni kipindi chake cha pili, huku akijivunia rekodi ya utendaji wa kazi…
Wasimamizi wa uchaguzi waaswa kuzingatia sheria
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Tume ya Taifa ya Uchaguzi imewataka wasimamizi wa uchaguzi na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya jimbo na kata kufuata na kuzingatia sheria wakati wa kutelekeza majukumu yao ili uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata 23…
DMDP kuboresha miundombinu ya Jiji la Dar es Salaam kwa bilioni 988.83
Serikali kwa kushirikiana na Benki ya Dunia imesaini mkataba wa mradi wa kuboresha miundombinu katika jiji la Dar es salaam (DMDP)awamu ya pili utakao gharimu bilioni 988.83. Akizungumza baada ya kusaini mkataba huo leo februari 20,2024 jijini Dar es salaam…